NIA YA KUOGA ILI KUONDOA JANABA,HEDHI NA NIFASI

 



Tumeona kuwa mwanamme anahusika na janaba tu lakini mwanamke anahusika na majosho ypute matatu,Janaba,Hedhi na Nifasi.

NIA YA JANABA

Nawaytu rafa'al janaba{Nanuiya kuondoa Janaba}

>NIA YA HEDHI

Nawaitu twaharata minal haidhwi{Nanuia kutwaharika kutokana na hedhi}

>NIA YA NIFASI

Nawaitu twaharata mina nifasi{Nanuia kutwaharika kutokana na nifasi}

Comments

Popular posts from this blog

TAHADHARI YA MKOJO

MAMBO YALIYOHARAMU KWA MWENYE JANABA,HEDHI NA NIFASI