ANAEFUNGA AJIEPUSHE NA MAMBO HAYA KWANI YANAHARIBU FUNGA


Umuhimu na maslahi ya Funga ya Ramadhani ni mkubwa sana.Kwani malipo na wapesi anaoupata mfungaji ndani ya Ramadhani haupatikani kwenye siku nyingine zaidi ya Ramadhani.Kutokana na hilo Mfungaji anatakiwa aichunge Funga yake ili isiharibike na kukosa fadhila na malipo makubwa ya Funga.

Kwani kufunga si'KUJIZUA KULA NA KUNYWA TU'Kuna mambo mengine ambayo mfungaji anapaswa kujizuia nayo ili funga yake isiharibika.

Miaongoni mwa mambo hayo ambayo mfungaji anatakiwa ayaepuke ni-:

>Kusema uongo hata kama kwa utani au kwa simu

>Kuteta kwa namna yoyote ile kunaharibu funga

>Kufitinisha watu kunaharibu funga

>Kula amini au kiapo cha uongo pia kunaharibufunga ya mfungaji

>Kuangalia kwa matamanio pia kunaharibu funga ya mfungaji.

Tembelea youtubechannel yetu kwa kubofya link hapo chini.

https://youtu.be/5Zqyp75OLMY?si=kDkn15Zc7ZQOlDiK


Comments

Popular posts from this blog

NIA YA KUOGA ILI KUONDOA JANABA,HEDHI NA NIFASI

TAHADHARI YA MKOJO

MAMBO YALIYOHARAMU KWA MWENYE JANABA,HEDHI NA NIFASI